TAMISEMI haijapata Waziri

TAMISEMI haijapata Waziri

Afage

Member
Joined
Sep 12, 2021
Posts
46
Reaction score
66
Ndugu wana jamvi Mimi ni mdau wa elimu kwa mda mrefu ila ninasikitishwa na namna wizara hi inavyoendeshwa

1. Kuna upungufu was watumishi lukuki wewe unaomba 10000 hivi so mzaha huu

2. Unasoma bajeti iliyopita kwa makosa makubwa wewe hukuwa na rehearsal kabla?

3. Hospital hazina watumishi kibali kimetolewa uko kimya si dharau hizo?

4. Uwiano was mwalimu kwa mwanafunzi ni 1:40 wewe unasema 1:60 si mzaha huu?

5. Una shule za msingi zaid ya 17460 na secondary zaid ya elfu sita umepewa walimu 9800 una unashangilia si uzuzu huo?
 
Shida ya watanganyika ni uvivu na wivu..katafute hela acha kulialia humu.

Kumbuka kibali cha ajira kinatolewa kulingana na bajeti ya serikali katika ajira mpya kwa mwaka husika.

Kama bajeti ndogo unataka muajiriwe kisha mkose mashahara mje tena humu mnalialia kuwa serikali imeshindwa kulipa watumishi.

Tumieni akili sio mihemko.

Mnakera sana..

#MaendeleoHayanaChama
 
Ndugu wana jamvi Mimi ni mdau wa elimu kwa mda mrefu ila ninasikitishwa na namna wizara hi inavyoendeshwa

1. Kuna upungufu was watumishi lukuki wewe unaomba 10000 hivi so mzaha huu

2. Unasoma bajeti iliyopita kwa makosa makubwa wewe hukuwa na rehearsal kabla?

3. Hospital hazina watumishi kibali kimetolewa uko kimya si dharau hizo?

4. Uwiano was mwalimu kwa mwanafunzi ni 1:40 wewe unasema 1:60 si mzaha huu?

5. Una shule za msingi zaid ya 17460 na secondary zaid ya elfu sita umepewa walimu 9800 una unashangilia si uzuzu huo?
Hapana Bashungwa hajashindwa, it's not about rehearsal it's about people's expectations. Unatarajia makubwa ila hauko tayari kusubiri. TAMISEMI sio sawa na wizara nyingine, wananchi wote wapo chini ya Wizara hii na wote wanataka ufanye vile wanatarajia bila kujali constraints zilizopo. Think big chief, the guy is very smart give him some time
 
Back
Top Bottom