Kwa report hii ya CAG tumekumbuka na kushangaa sana kwenye ufisadi wa Chato International Airport.“Watanzania mtanikumbuka ...tena mtanikumbuka kwa mazuri sio mabaya”
Ni junior huyu hana uzoefu wowote na wizara hii.Bashungwa tamisemi hapamfai amepoa sana
Hapana Bashungwa hajashindwa, it's not about rehearsal it's about people's expectations. Unatarajia makubwa ila hauko tayari kusubiri. TAMISEMI sio sawa na wizara nyingine, wananchi wote wapo chini ya Wizara hii na wote wanataka ufanye vile wanatarajia bila kujali constraints zilizopo. Think big chief, the guy is very smart give him some timeNdugu wana jamvi Mimi ni mdau wa elimu kwa mda mrefu ila ninasikitishwa na namna wizara hi inavyoendeshwa
1. Kuna upungufu was watumishi lukuki wewe unaomba 10000 hivi so mzaha huu
2. Unasoma bajeti iliyopita kwa makosa makubwa wewe hukuwa na rehearsal kabla?
3. Hospital hazina watumishi kibali kimetolewa uko kimya si dharau hizo?
4. Uwiano was mwalimu kwa mwanafunzi ni 1:40 wewe unasema 1:60 si mzaha huu?
5. Una shule za msingi zaid ya 17460 na secondary zaid ya elfu sita umepewa walimu 9800 una unashangilia si uzuzu huo?
Bora ya Bashungwa kuliko mawaziri midomo chiriku (waongeaji) kama Ummy Mwalimu na JafoBashungwa tamisemi hapamfai amepoa sana