polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Napendekeza TAMISEMI wangeanzisha mfumo wa kubadilishana vituo vya kazi yaan kuwe na mfumo ambao unawatambua watumish wote na vituo vyao vya kazi kwa kila idara halafu watumushi waweze kuutumia
Mfano:mfumo unakuwa na transfer request hivyo mtumishi anaye taka kuhama ana request wilaya au kata au kituo anacho taka kuhamia baada ya kuweka request hiyo ina link na mtu wa eneo lile ambaye naye anakuwa alisha request kuhamia eneo la mtumishi wa kwanza baada ya hapo wanafanya confirmation na kupata form ambayo inaenda kuithinishwa utumushi wilaya ili kuhakiki uhai wa mtumishi husika na taratibu za kuhamisha mshahara zinafanyika ndani ya siku moja watu wanabadilishana vituo.
Naona njia hiyo itakuwa rahisi na haileti upungufu wowote ule wa watumishi eneo husika kwa sababu atakaye hama anaenda moja kwa moja kituo cha aliye badilishana naye ambaye anasifa na majukumu sawa na anaye badilishana naye ili kupunguza urasimu na utapeli na kuipunguzia tamisemi majukumu.
Nawasilisha.