LGE2024 TAMISEMI hii maana yake nini? Kwa nini wakala aruke nafasi hapo kwenye Daftari?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mawele

Senior Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
119
Reaction score
320
Kwani lazima kushiriki huo uchaguzi si muwaachie wenyewe tu maana unakubalije kwenda kucheza kolokolo eti ubahatishe ushindi wakati unajua kabisa utaliwa..!
 
Kwani saini za watu zinasainiwa na wakala? Mbona hizi sahihi zinonekana kusiniwa na mtu mmoja?

Halafu Majina hakuna ila kuna sahihi daah nchi hii ni kama iko kwenye mfuko wa shati wa cham fulni

 
Kwani saini za watu zinasainiwa na wakala? Mbona hizi sahihi zinonekana kusiniwa na mtu mmoja?

Halafu Majina hakuna ila kuna sahihi daah nchi hii ni kama iko kwenye mfuko wa shati wa cham fulni
Mkuu, naona kumeandikwa saini ya mwandikishaji.
 
Chama Cha Mashetani wapo tayari kufanya hila yoyote ile ili washinde uchaguzi.
 
Mbona kuna saini kabisa hapo mbele na umri tayari?Yawezekana mteja alianza kwa kuweka saini halafu ndiyo taarifa zake zikaanza kuandikwa kutoka kulia kurudi kushoto.🤔
 
Huoni saini za Walioandikishwa HEWA?!
Mkuu, nilicomment kwenye hiyo column iliyozungushiwa alama na mdau.

Lakini hata hivyo katika uandishi kila mtu ana kastyle kake ka kuandika, hasa hii ya kuorodhesha, mwingine anaanzia kulia anarudi kushoto, kuna style mtu anaandika mpaka unashindwa kuelewa ana maana gani.
 
Kama unakumbuka vizuri wajumbe wa CCM walipita kila nyumba kuandikisha wanachama.
Hizo nafasi hazitabaki wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…