LGE2024 TAMISEMI hii maana yake nini? Kwa nini wakala aruke nafasi hapo kwenye Daftari?

LGE2024 TAMISEMI hii maana yake nini? Kwa nini wakala aruke nafasi hapo kwenye Daftari?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ccm bila ya hizo figisu haina uwezo wa kushinda.
 
Kwani saini za watu zinasainiwa na wakala? Mbona hizi sahihi zinonekana kusiniwa na mtu mmoja?

Halafu Majina hakuna ila kuna sahihi daah nchi hii ni kama iko kwenye mfuko wa shati wa cham fulni
2020 Vs 2024.

Bado hamjajua box la kura na tume iliyojaa makada wa kijani sio namna sahihi ya kuitoa CCM?

Mtaenda kupoteza muda tena halafu mtakuja na wimbo wa "tumeibiwa tena".
IMG_20201028_173703.jpg
 
Dah..
Haya Mambo yatazidisha chuki kali zaidi kwa walimu..
 
Mbona daftari nililoandikishiwa Kama kwa juu lilikuwa ma sehemu ya kuonyesha mkoa, wilaya na Kijiji
 
Back
Top Bottom