Tengeneza Njia
Senior Member
- Jul 29, 2022
- 121
- 205
Kwanini mchukue namba zetu za simu kutoka kwenye makampuni ya simu na kuanza tu kutuma tuma meseji bila consent?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mm ndio nilicho wafanyiaBlock tu
🤣🤣🤣🤣Elimu ni muhimu kwa mtoto. Hakikisha mtoto wa miaka 4 anajiunga darasa la awali na mtoto wa miaka 6 anaanza darasa la kwanza. Hakuna ada kwenye shule za umma.
Elimu ya sekondari humuandaa mtoto kukabiliana na changamoto za maisha. Hakikisha mtoto anaripoti shuleni kuanza kidato cha kwanza kwa wakati masomo yameanza.
Hapana hawaingilii faragha ya mtu.Kwanini mchukue namba zetu za simu kutoka kwenye makampuni ya simu na kuanza tu kutuma tuma meseji bila consent?
Kama huipendi unaifuta bila kuisoma. Kulalamika humu ni matymizi hovyo ya mudaKwanini mchukue namba zetu za simu kutoka kwenye makampuni ya simu na kuanza tu kutuma tuma meseji bila consent?
Hii dunia ukipata fursa itumie😋😋😋Kuna hela inapigwa huko Tamisemi kwa ajili ya hizi sms tunazotumiwa kila saa. Usishangae gharama ya kutuma sms moja ukaambiwa ni shilingi 2'000/-
Bi tozoHii dunia ukipata fursa itumie😋😋😋