Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Sijui Hilo wazo alilitoa nani, ni wazo la kijinga kupindukia.
Nani asiyejua Halmashauri zetu zilivyo?.
Mdogo wangu ananipigia simu, Brother Kuna MTU hapa ananilazimisha mapenzi ndio Sasa anipangie Kituo kilicho Maeneo ya Mjini.
Mdogo wangu anaenda mbali anadai, Kuna Rafiki yake katembea na jamaa wa Halmashauri kampangia tayari Kituo.
Mdogo wangu ananiambia Kuna wenzake waloreport ambao wao ni jinsia ya kiume wanaombwa Pesa .
Yote Kwa yote asotoa ngono au Pesa anapelekwa Ndani Ndani kama Adhabu .
Sasa TAMISEMI inamaana Mlishindwa kuzipa maelekezo Halmashauri zote ziwape majina ya Vituo na uhitaji wa Kila Kituo, mkapeleka watu Moja Kwa Moja vituoni??.