NUUMA BAKUNYA
Member
- Feb 19, 2013
- 23
- 1
Chanzo kutoka bungen walio kosa ajira amesema wameisha orodhesha majina na wamesubilia kibali kikipatikana majina yatatoka msijali bado mnafikiliwa
Chanzo kutoka bungen walio kosa ajira amesema wameisha orodhesha majina na wamesubilia kibali kikipatikana majina yatatoka msijali bado mnafikiliwa
Issue ni kuajiriwa! Ukikuta haujafanikiwa kujiajiri basi ngoja ajira za serikali watakapoona inafaa kutolewa. Hatuna namna kwakweli
da serekal hii sitaisahau kwa kwel kwa hiki cha mwaka huu nimebakia naangalia result slp tu
hahahaha!yaani tutakaa mpaka hizi notifications of results ziishe muda wake
Mkuu,hapo umenena
Unajua hawa jamaa ni wajanja sana,kwa kuwa tulikuwa tunataka tamko wametoa,sasa kulifanyia kazi sikilizia tu
Nimepitia website ya Tamisemi naona inaloading kunakitu kinataka kuhapen nini coz ata yale majina ya post yametolewa yote ha ha ha ni mawazo yangu tu.
Hahahahaha!vunga mwalimu,wengine tuna bp ya kupanda
Ha ha ha mi sheli ishapotea tokea kipindi kile
Poleni kwani mna muda gani mtaani toka mhitimu mafunzo? naomba kujua kwa faida ya vizazi vijavyo.dah!ni shida,tumekoma mwaka huu
Poleni kwani mna muda gani mtaani toka mhitimu mafunzo? naomba kujua kwa faida ya vizazi vijavyo.
Nimepitia website ya Tamisemi naona inaloading kunakitu kinataka kuhapen nini coz ata yale majina ya post yametolewa yote ha ha ha ni mawazo yangu tu.