TAMISEMI imetoa tamko kuhusu ajira uwalimu awamu ya pili

TAMISEMI imetoa tamko kuhusu ajira uwalimu awamu ya pili

NUUMA BAKUNYA

Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
23
Reaction score
1
Chanzo kutoka bungen walio kosa ajira amesema wameisha orodhesha majina na wamesubilia kibali kikipatikana majina yatatoka msijali bado mnafikiliwa
 
Tatizo ubabaishaji wa serikali hii unaweza kukuta ndio imetoka ivo zikawa kauli tu.
 
shiti.shiki na chochote. naenda jiajiri mwenyewe
 
Chanzo kutoka bungen walio kosa ajira amesema wameisha orodhesha majina na wamesubilia kibali kikipatikana majina yatatoka msijali bado mnafikiliwa

mh!hao hawaogopi kusema uongo bhana,wanaweza wakakuambia wamepata kibali cha kuajiri lakini mpaka waajiri inaweza ikapita hata miezi mitatu
 
Issue ni kuajiriwa! Ukikuta haujafanikiwa kujiajiri basi ngoja ajira za serikali watakapoona inafaa kutolewa. Hatuna namna kwakweli
 
da serekal hii sitaisahau kwa kwel kwa hiki cha mwaka huu nimebakia naangalia result slp tu
 
hahahaha!yaani tutakaa mpaka hizi notifications of results ziishe muda wake
 
Unajua hawa jamaa ni wajanja sana,kwa kuwa tulikuwa tunataka tamko wametoa,sasa kulifanyia kazi sikilizia tu

Nimepitia website ya Tamisemi naona inaloading kunakitu kinataka kuhapen nini coz ata yale majina ya post yametolewa yote ha ha ha ni mawazo yangu tu.
 
Nimepitia website ya Tamisemi naona inaloading kunakitu kinataka kuhapen nini coz ata yale majina ya post yametolewa yote ha ha ha ni mawazo yangu tu.

Hahahahaha!vunga mwalimu,wengine tuna bp ya kupanda
 
Nimepitia website ya Tamisemi naona inaloading kunakitu kinataka kuhapen nini coz ata yale majina ya post yametolewa yote ha ha ha ni mawazo yangu tu.

Mkuu,hakuna lolote,jipya ni majina ya watu walio itwa kwenye usaili.
 
Back
Top Bottom