dah!hii serikali imeshakuwa ya kusadikika
Ila kuna tetesi kuwa wanatoa kati ya tar 1 june.
Shule zinafungwa sasa, kwa hiyo majina yatatoka mwez wa sita kuanzia tarehe 19 mwez wa sita na kuripot trh 30. Ripoti toka chanzo cha uhakika.
Shule zinafungwa sasa, kwa hiyo majina yatatoka mwez wa sita kuanzia tarehe 19 mwez wa sita na kuripot trh 30. Ripoti toka chanzo cha uhakika.
Vyovyote itakavokuwa lazima ajira tutapata tu we sema itachelewa,by the way,kuna watu wa idara ya afya nao kama 6400 nao wanatarajiwa kuajiriwa kabla ya bajeti mpya kupita,so lets just be patient
Mkuu kumbuka kitaa kugumu
Hadi hapa sasa naelekea kukubaliana na maelezo ya jamaa mmoja humu anajiita look.
Wiki Iliyopita Nilimuuliza N/waziri Tamisemi Anayeshughulikia Elimu Kuhusu Suala Hili( Kwa Njia Ya Ujumbe Wa Simu) Alinijibu Hivi "bado Mtajulishwa"
Mh ni pm basi na mimi nipate iyo no ya naibu waziri labda tukimsumbua watatowa tamko
Mkuu kumbuka kitaa kugumu