TAMISEMI imetoa tamko kuhusu ajira uwalimu awamu ya pili

Magumashi serikali,magumashi tamisemi hatari sana aisee huenda ndio imetika hiyo,kwa hatua hii!! Sijui.!?
 
mimi nimeshawachoka hawa jamaa maana kama kundi lile kubwa la walimu 36000 walikuwa wanadiriki kulidanganya sembuse sisi ambao hata elfu 5 hatufikii?...hahaa
 
Shule zinafungwa sasa, kwa hiyo majina yatatoka mwez wa sita kuanzia tarehe 19 mwez wa sita na kuripot trh 30. Ripoti toka chanzo cha uhakika.
 
Unapo amua kudanganya lazima uwe unajua na taratibu za ajira, labda nkuulize hivi kuanzia tar 19 hadi 30 siku 14 zinakuwa zimetimia?? Ni swali tu mkuu usini chachamalie.
 
Vyovyote itakavokuwa lazima ajira tutapata tu we sema itachelewa,by the way,kuna watu wa idara ya afya nao kama 6400 nao wanatarajiwa kuajiriwa kabla ya bajeti mpya kupita,so lets just be patient
 
Shule zinafungwa sasa, kwa hiyo majina yatatoka mwez wa sita kuanzia tarehe 19 mwez wa sita na kuripot trh 30. Ripoti toka chanzo cha uhakika.

Mkuu izo habari umezitowa wapi, ila kuna kitu kimoja najiuliza sana tena sana mbona humu kwenye mitandao zikitokea habari za kisiasa serikali inatowa tamko fasta ila kwa ili la tamisemi kimya why?
 
Vyovyote itakavokuwa lazima ajira tutapata tu we sema itachelewa,by the way,kuna watu wa idara ya afya nao kama 6400 nao wanatarajiwa kuajiriwa kabla ya bajeti mpya kupita,so lets just be patient

Mkuu kumbuka kitaa kugumu
 
Wiki Iliyopita Nilimuuliza N/waziri Tamisemi Anayeshughulikia Elimu Kuhusu Suala Hili( Kwa Njia Ya Ujumbe Wa Simu) Alinijibu Hivi "bado Mtajulishwa"
 
Mh ni pm basi na mimi nipate iyo no ya naibu waziri labda tukimsumbua watatowa tamko
 
Back
Top Bottom