TAMISEMI inabidi muutazame mpya mfumo wenu wa malipo upande wa maegesho

TAMISEMI inabidi muutazame mpya mfumo wenu wa malipo upande wa maegesho

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
Imagine ni weekend unataka kuondokana na madeni ya tamisemi mintarafu maegesho. Unaingia kwenye mfumo wao na kuanza kupachipa namba za gari zako (za kampuni). Mfumo unakwambia kuna hitilafu na haiwezekani kupata huduma hiyo kwa muda huo. Unajaribu tena baada ya saa kadhaa na majibu ni hayohaho. Tatizo hili hujitokeza kila weekend

Unasema unaribu Jumapili labda mfumo ulijam. Napo jibu ni lilelile. Siku inaisha. Unasema kwa kuwa Jumatatu ni siku ya kazi basi mfumo utatengemaa mapema kabisa. Saa mbili unaingia termis na jibu ni lilelile. Siku inaisha. Malengo.yako ya kulipa maegesho kwa wiki husika yanafeli

Jumanne unaingia kwenye mfumo bahati unakubali. Unaainisha madeni yako kisha unaingia tigo kutaka kulipa. Tigo wanakwambia mfumo una tatizo. Jaribu tena baadae. Unaona kama ulichelewa kuweka miamala unarudia tena. Jibu ni lilelile. Tutafika? Malengo yatatimia? Hili suala lina multiply effect.

Meanwhile Kariakoo tunaendelea. Watu wema wanajitokeza kuchangisha kwa ajili ya wahanga wanazuiliwa, kwamba akaunti ni moja tu.

Watanzania wameshabuni mifumo yao ya maisha nje ya mfumo mkuu ambao ni serikali. Watu wanasaidiana gharama za matibabu. Watu wanahudumiwa na kupata misaada. Sasa kina Nifa wanazuiwa. Hao wana watu wao. Watu wao wanawaamini. Serikali inazuia. Ndio maana nikasema, serikali izuie na waokoaji binafsi. Yani wasiguse jengo kabisa. Polisi na zimamoto tu ndio wapambane na hali zao. Huo ndio ukweli
 
Back
Top Bottom