Mahitaji ni walimu wa sayansi kama hausomi sayansi bora ukatafute kaz nyingine.
mbona mimi nliwatumia maombi kwanjia ya posta mwl wa PHYSICS AND CHEMISTRY na hawaja nipangia....au kwa tuliomaliza zamani hatupangiwi ni wa vyuoni...?
umesoma chuo gani?
nimemaliza klerruu TTC nashangaa nliwatumia maombi mapeema ila sijaona maana hizi private nimefundisha sana naona kuna uzushi mwingi tu...
Yaani nyie ndio mnaoongeza dropout rate ya walimu. Unamalizia chuo, unapangwa ajira hauripoti. Unazunguka private weeeeeeeeeeee, yakishafika shingoni unakimbilia serikalini kupata security. Watu msio na uzalendo kama ninyi ningekuwa na nguvu ya kufanya maamuzi msingepata ajira.nimemaliza klerruu TTC nashangaa nliwatumia maombi mapeema ila sijaona maana hizi private nimefundisha sana naona kuna uzushi mwingi tu...
ndugu Demo unayoyaongea ni ya kweli kwamba ulienda tamisemi na wakakuambia hivyo?tupeane matumaini bac.
Mahitaji ni walimu wa sayansi kama hausomi sayansi bora ukatafute kaz nyingine.
Yaani nyie ndio mnaoongeza dropout rate ya walimu. Unamalizia chuo, unapangwa ajira hauripoti. Unazunguka private weeeeeeeeeeee, yakishafika shingoni unakimbilia serikalini kupata security. Watu msio na uzalendo kama ninyi ningekuwa na nguvu ya kufanya maamuzi msingepata ajira.
Sasa ilikuwaje ukavutiwa na soko huria ukaamua kwenda private then unataka urudi serikalini? FYI kuna walimu wa sayansi kama wewe wengi tu wenye vikasumba kama vyako na wameishiwa kukataliwa serikalini maana walipangwa vituo wakagoma kwenda kisa wao Ni potential wakakimbilia private, yalipowaendea kombo wakaamua kurudi kumpigia magoti MOEVT awapangie tena post, nakuhakikishia mpaka Leo hawajapangwa. Nenda Wizarani kapige magoti Kwa KATIBU MKUU akupe ajira vinginevyo utabaki kufanya kazi na para professionals kama waliojazana Saint Mary's.acha mawazo mgando wewe kwani huko private wanasoma alshabaab...au hujui soko huria, unasema uzalendo kamuulize rais watoto wake wanasoma serikalini au uzalendo nikwa maskini tu...