Tamisemi inamaana sisi tuliokosa ajira si watanzania?

Tamisemi inamaana sisi tuliokosa ajira si watanzania?

mbona nimeona kadhaa wamepata wa huko?fact ni kwamba,waliosoma history na kiswahili ambao ufaulu wao ktk masomo hayo ni average ya C,hawakupangwa.Hivyo kama uko category hiyo subiri labda chaguo la pili mkuu
 
Ukweli kaka kwa ambao hawajaajiriwa kuna haja ya kuwa makini na masomo wanayosoma. Walimu wa histori na kiswahili wamejaa shule nyingi. Kuna jamaa yangu hata tempo alikuwa hana kisa kasoma bed kiswahili. Kila shule anayotia maguu wanamtolea nji kwa kumjibu kama kuna jamaa yako yeyote kasoma physics,chemistry,biology,maths ama geography mwambie aje nafasi zipo. Akaamua kukaa maskani kusubiri ajira. Mimi hesabu ilinifanya nipewe tempo mapema tena kwa kunyenyekewa sana. Tujipange jamani, watoto wetu na wadogo zetu tuwahamasishe wakomae na sayansi inalipa sana.
 
Mahitaji ni walimu wa sayansi kama hausomi sayansi bora ukatafute kaz nyingine.

mbona mimi nliwatumia maombi kwanjia ya posta mwl wa PHYSICS AND CHEMISTRY na hawaja nipangia....au kwa tuliomaliza zamani hatupangiwi ni wa vyuoni...?
 
pole mkuu, ila nilisikia pale WIZARANI kuwa chuo chenu kilichelewesha kupeleka majina ndio maan hata wale waliobahatika wamepangwa z same region!
 
Siyo SJUT-DOM pekee hata tawa la dar wapo kibao hawajapangiwa, ishu ya history/kiswahili ni uzushi mbn mie nimepangiwa s/wanga[M] na nimesoma masomo hayo?
 
Mcjali mtaajiriwa tu kama ipo ipo tu na pia poleni najua mna maswali yasiyo na majibu kuna watu ambao hawataenda kwa kisingizio mazingira ni mabaya mtapata tu nafasi
 
nimemaliza klerruu TTC nashangaa nliwatumia maombi mapeema ila sijaona maana hizi private nimefundisha sana naona kuna uzushi mwingi tu...
Yaani nyie ndio mnaoongeza dropout rate ya walimu. Unamalizia chuo, unapangwa ajira hauripoti. Unazunguka private weeeeeeeeeeee, yakishafika shingoni unakimbilia serikalini kupata security. Watu msio na uzalendo kama ninyi ningekuwa na nguvu ya kufanya maamuzi msingepata ajira.
 
Tuwe tuna-vumiliana. Binadamu hatuja-kamilika... Pole kwa kutopangiwa. Tuna-omba Mungu awasaidie. SOLIDATY FOREVER!
 
Jamani wadau nami ni mhanga. Nimehitimu chuo cha ualimu marangu. Masomo ninayofundisha ni history na geography ila sijapangiwa kituo cha kazi. Sijui ndo mpaka mwakani maana nilienda hadi tamisemi na vyeti vyangu, wakadai tuangalie wiki hii kwenye internet ndo tunaendelea kusubiri wadau
 
ndugu Demo unayoyaongea ni ya kweli kwamba ulienda tamisemi na wakakuambia hivyo?tupeane matumaini bac.
 
ndugu Demo unayoyaongea ni ya kweli kwamba ulienda tamisemi na wakakuambia hivyo?tupeane matumaini bac.

Mkuu nina uhakika na siwezi kukurupuka kuongea vitu vya uongo wakati na mimi ni mhanga. Labda kama walinipa matumaini, ukumbuke usemi wa "Serikali yetu ni sikivu,tutalifanyia kazi"
 
Yaani nyie ndio mnaoongeza dropout rate ya walimu. Unamalizia chuo, unapangwa ajira hauripoti. Unazunguka private weeeeeeeeeeee, yakishafika shingoni unakimbilia serikalini kupata security. Watu msio na uzalendo kama ninyi ningekuwa na nguvu ya kufanya maamuzi msingepata ajira.

acha mawazo mgando wewe kwani huko private wanasoma alshabaab...au hujui soko huria, unasema uzalendo kamuulize rais watoto wake wanasoma serikalini au uzalendo nikwa maskini tu...
 
Watu wengine bwana,hivi walioajiriwa ni wasayansi tu,mbona nyiye watu mnajidai sana,unadhani watu wote waliosoma sayansi wanamaendeleo zaidi?acha kihelehele hivyo.
 
acha mawazo mgando wewe kwani huko private wanasoma alshabaab...au hujui soko huria, unasema uzalendo kamuulize rais watoto wake wanasoma serikalini au uzalendo nikwa maskini tu...
Sasa ilikuwaje ukavutiwa na soko huria ukaamua kwenda private then unataka urudi serikalini? FYI kuna walimu wa sayansi kama wewe wengi tu wenye vikasumba kama vyako na wameishiwa kukataliwa serikalini maana walipangwa vituo wakagoma kwenda kisa wao Ni potential wakakimbilia private, yalipowaendea kombo wakaamua kurudi kumpigia magoti MOEVT awapangie tena post, nakuhakikishia mpaka Leo hawajapangwa. Nenda Wizarani kapige magoti Kwa KATIBU MKUU akupe ajira vinginevyo utabaki kufanya kazi na para professionals kama waliojazana Saint Mary's.
 
Back
Top Bottom