Umemaliza zako chuo, pengine ni injinia.
Unatafuta kazi mwishowe unaajiliwa halmashauri fulani ambayo kwa muundo wa utawala wapo chini ya Tamisemi.
Mwenzako uliyemaliza nae anapata zake kazi Tanesco, Tanroads au taasisi nyingine.
Gepu linaanzia hapo, huko halmashauri unakutana na madiwani walioshia darasa la 7 ndio mabosi zako wa kwenye miradi. Hakuna uweledi huko.
Wenzako waliopo kwenye mashirika wanapiga posho na semina za kutosha, huko tamisemi unapiga miayo tu, posho zenyewe za manati, over time za kutosha zisizo na malipo.
Tamisemi inaua sana ndoto za vijana wengi
Kuna ukweliGepu linaanzia hapo, huko halmashauri unakutana na madiwani walioshia darasa la 7 ndio mabosi zako wa kwenye miradi. Hakuna uweledi huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MAENDELEO hayana chama piga kazi huko huko tamisemi mpaka madiwani wakupendekeze uwe DED
Asieshukuru kidogo hata kikubwa hawezi kushukuru.....Umemaliza zako chuo, pengine ni injinia.
Unatafuta kazi mwishowe unaajiliwa halmashauri fulani ambayo kwa muundo wa utawala wapo chini ya Tamisemi.
Mwenzako uliyemaliza nae anapata zake kazi Tanesco, Tanroads au taasisi nyingine.
Gepu linaanzia hapo, huko halmashauri unakutana na madiwani walioshia darasa la 7 ndio mabosi zako wa kwenye miradi. Hakuna uweledi huko.
Wenzako waliopo kwenye mashirika wanapiga posho na semina za kutosha, huko tamisemi unapiga miayo tu, posho zenyewe za manati, over time za kutosha zisizo na malipo.
Tamisemi inaua sana ndoto za vijana wengi
That's your country, boss. you just have to endure it, hakuna namna.Umemaliza zako chuo, pengine ni injinia.
Unatafuta kazi mwishowe unaajiliwa halmashauri fulani ambayo kwa muundo wa utawala wapo chini ya Tamisemi.
Mwenzako uliyemaliza nae anapata zake kazi Tanesco, Tanroads au taasisi nyingine.
Gepu linaanzia hapo, huko halmashauri unakutana na madiwani walioshia darasa la 7 ndio mabosi zako wa kwenye miradi. Hakuna uweledi huko.
Wenzako waliopo kwenye mashirika wanapiga posho na semina za kutosha, huko tamisemi unapiga miayo tu, posho zenyewe za manati, over time za kutosha zisizo na malipo.
Tamisemi inaua sana ndoto za vijana wengi
Bora hata hiyo,kuna vyuo vikuu,UPUMBAVU MTUPU.Umemaliza zako chuo, pengine ni injinia.