Linalo nishangaza zaidi mie ni kuto uwekea umuhimu uchaguzi huu kwa vyama vya upinzani!..uchaguzi serikali za mitaa utasimamiwa na Mh.Mchengerwa Waziri wa Tamisemi.
..Mh.Mchengerwa ni mkwe wa Rais Samia ambaye chama chake kinashiriki.
Watu wanakuwa Wazito kuelewa, mtangaza matokeo anateuliwa na anaegombea Urais,CCM kuendelea kubaki madarakani au kushinda Uchaguzi wa Siasa hapa Tanzania haitegemei kupigiwa Kura na mtu yoyote yule ktk Uchaguzi wa Siasa
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaosimamiwa na OR Tamisemi ambao ni wateule wa ccm!
Sasa sijui mnatofautiana wapi, maana naona nyote mko kwenye ukurasa mmoja!..hujuma haipo ktk kudumbukiza kura tu.
..inaanzia kwenye kanuni za uchaguzi, kuandikisha wapigakura, kuandikisha wagombea na mawakala, kuandikisha wasimamizi, kupiga na kuhesabu Kira, kutangaza washindi.
..mratibu na msimamizi wa shughuli zote hizo nyeti ni, Mh.Mchengerwa mkwe wa Rais Samia, ambaye ni Mwenyekiti wa chama kimojawapo kinachoshiriki uchaguzi.
Je, unaelewa maana ya "Serikali ya kidemokrasia na inayowajibika kwa Wananchi???"
Je, unaelewa maana ya Utawala wa Sheria??
FYI: Vitu hivyo vikiwepo hizo hujuma unazodai kuwepo basi hazitapata nafasi kufanyika.
Tatizo tulilonalo hapa Tanzania ni kwamba:-
1. Katiba iliyopo siyo nzuri hata kidogo, ni Katiba mbovu.
2. Hakuna Serikali Wala Utawala wa kidemokrasia unaozingatia Rule of law.
3. Serikali haiwajibiki kwa Wananchi.
Vyote vitatu kwa pamoja ndio kiini Cha kuwepo kwa matatizo mengi au yote ya Kiutawala yaliyopo hivi Sasa hapa nchini, pia imesababisha hali ya Wananchi kukosa kuaminiana.
Hao polisi wenu si watatukamata kwa kufanya mkusanyiko wa watu wengi!
NirogweUgombee
Nawashauri Chadema wasusie! Hahahahaha!..uchaguzi serikali za mitaa utasimamiwa na Mh.Mchengerwa Waziri wa Tamisemi.
..Mh.Mchengerwa ni mkwe wa Rais Samia ambaye chama chake kinashiriki.
Tangazo halina maelezo yaliyoshiba.Mi hata sijaelewa. Au kuna details za tangazo hazijakamilika?
Inawezekana nazeeka au sijaelewa