Linalo nishangaza zaidi mie ni kuto uwekea umuhimu uchaguzi huu kwa vyama vya upinzani!..uchaguzi serikali za mitaa utasimamiwa na Mh.Mchengerwa Waziri wa Tamisemi.
..Mh.Mchengerwa ni mkwe wa Rais Samia ambaye chama chake kinashiriki.
Inawezekani uelewa wangu juu ya umuhimu wa uchaguzi huu ni finyu zaidi kuliko wanavyo uchukulia vyama vingine vya siasa, tofauti na CCM!