LGE2024 TAMISEMI kufanya mkutano na Waandishi wa Habari kujibu hoja kadhaa kuhusu mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Nimeishajiandikisha...! Kituoni nimewakuta wanawake wawili (hawakujitanmbulisha) pembeni ya mwandikishaji wakiume mmoja mwenye kofia ya "Tamisemi". Nimekaribishwa kwa bashasha huku nikiombwa kutaja majina yangu matatu, kisha nikasaini, na nikaambiwa tayari Mimi Sasa ni mpiga kura halali mwaka huu.

Sijaona changamoto yoyote. Twende kujiandisha, tumchague viongozi tunaowataka watuongoze siyo wale tunaotaka watutawale!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…