BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa kesho Jumanne Aprili 16, 2024 atawasilisha Hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2024/25.
Hii ni Wizara ya Wananchi, basi kesho Watanzania wote kuanzia Saa 3 asubuhi tufuatilie kujua yanayokwenda kufanyika. Utafuatili kupitia TAMISEMI TV na Vyombo vingine mbalimbali vya habari.
Hii ni Wizara ya Wananchi, basi kesho Watanzania wote kuanzia Saa 3 asubuhi tufuatilie kujua yanayokwenda kufanyika. Utafuatili kupitia TAMISEMI TV na Vyombo vingine mbalimbali vya habari.