king gwangaeto
Member
- Aug 15, 2016
- 47
- 46
Tamisemi japo mlitoa nafasi za wanafunzi kufanya upya machaguo ya shule za advance kupitia mfumo wenu wa selform lakin cha ajabu mewapangia wanafunzi wengi shule tofauti na zile walizochagua despite ufaulu wao kuwa mzuri lakin bado mmewatupa ktk shule za ajabu ambazo hawakuchagua
Je,nini maana ya wanafunzi kuchagua shule ilihali nyie mnapanga kwa matakwa yenu bila kuzingatia machagu o yao na ufaulu wao?
Je,nini maana ya wanafunzi kuchagua shule ilihali nyie mnapanga kwa matakwa yenu bila kuzingatia machagu o yao na ufaulu wao?