king gwangaeto
Member
- Aug 15, 2016
- 47
- 46
Ndio matumizi ya akili yanapohitajika. Ilipaswa mzigawe shule kwenye zoning na kulingana na ufaulu. Wakati wetu wa primary, ilikuwa unachagua shule nne. Ya vipaji maalum, ya ufundi, kilimo na Day ( mara nyingi regional level). Sijajua siku hizi mnafanyaje. Hivyo wanafunzi 5000 wasingeweza kuchagua shule moja kwa vyovyote vile. Kuna mwanafunzi anajua kabisa Mzumbe si size yake, angechagua shule ya hadhi take. Of course, smoothing ingekuwepo lakini si kiwango kikubwa.Imagine watoto elf 5 wamechagua shule moja wewe kama Tamisemi ungefanyaje?