Tamisemi,Kwanini mnatutesa?

Tamisemi,Kwanini mnatutesa?

sulle23

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
230
Reaction score
14
Mpaka leo hatuoni jipya zaidi ya kushuhudia wahitimu wa sjut dodoma tu kupangiwa vituo vya kazi,sasa na sisi hatima ya ajira yetu ipi?jamani tamisemi muwe na huruma na watoto wa watanzania wenzenu,tupeni haki yetu ya ajira maana sifa tunazo.
 
Nikweli ndugu mimi pia ni muhanga wa kukosa ajira chuo chetu korogwe dip karibuni 195 tumekosa ajira chaajabu wametoa st.john wangine wakituacha kwanini lakini??????!!!!.
 
kiukweli wadau JF tuungane kwa kuwakumbusha,maana hata Morogoro chuo cha ualimu tipo ktk janga hilo
 
Maisha ni magumu sana huku mtaani TAMISEMI watoe tamko kwa sisi tuliokosa ajira tujue,kuliko kukaa kimya.
 
Kwa hili jambo nimuhimu kuungana tujue nini kinaendelea tamisemi na kwa nini wakae kimya ukienda pale wizara ya elimu wanasema majibu yote wanayo tamisemi kulikoni.
 
Jamani kwanini tusinge tafuta mwandishi wa gazeti mfano MWANANCHI iliafuatilie jambo hili kwakaribu????.
 
Hata wa mim mambo kwangu ni mabaya sana stress zinazdi kuwa ming na hasira yang juu ya serekali inaongezeka
 
yaani hawa tamisemi bhana,kila cku wao wanatoa waliobadilishiwa vituo vya kazi wakati tulio wengi hawajatupangia.
 
Jamani tamisemi,tunawaomba tena,mtukumbuke maana huku kitaa ni kugumu
 
sulle; acha tu yani tunaovyoumia sijuwi aya majonzi yanaisha lini
 
Dah!Mtu anaweza kufariki kwa stress eti
 
jamani waalimu unganeni maana walishasema ninyi ni priority, sisi wengine tufe tu haiwahusu serikali.
 
jamani waalimu unganeni maana walishasema ninyi ni priority, sisi wengine tufe tu haiwahusu serikali.

Serikali gani ambayo inadiriki kuwaambia wasomi wake maneno kama hayo?hii serikali cjui ina roho gani jamani.
 
Back
Top Bottom