sulle23
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 230
- 14
- Thread starter
- #61
hapo dar wamesemaje?kuna mtu wa pale dom najaribu kumtafuta ili nimuagize hapo tamisemiMi np dar mkuu ila tamisemi ya hapa dar nimeenda zaidi ya mara 8 amna jipya tungempata mtu wa dodoma tungemuagiza pale makao makuu tamisemi dodoma tukajuwa inakuwaje