Ustadh tongwe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 717
- 1,903
Nnakubali mfumo wenu umekuwa mkombozi sana kwetu wafanyabiashara imepunguza msongamano kwenye halmashauri ila kuna mapungufu myafanyie kazi maana mimi nna miezi 2 nnafanya kazi bila leseni. Sio kwa kupenda ila mfumo wenu hautaki maana mimi nna biashara ya hardware, nna godowns 4 nimetolea Moja hizo nyingine tatu mfumo unakataa siwezi kutoa nyingine kwahiyo nnatumia hiyo hiyo leseni moja tu kwahiyo laki 9 ya leseni mmeikataa kwenye mfumo.