Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Wajisomee tu wenyewe hivo vitabu maana kwa Sasa hatuna mishahara ya kuwalipa [emoji23]Inabidi waongeze na walimu sasa.
Kuna shule huku vijijjini ndanindani zina walimu wachache,nyingine wawili,watatu wanne,na wakati mtaani Kuna kontena la walimu hawana ajira.
Hizo hela bora wangezitumia kuajiri walimu wapya.Wajisomee tu wenyewe hivo vitabu maana kwa Sasa hatuna mishahara ya kuwalipa [emoji23]
Serikali ya CCM ni sikivu tuwe watulivu katika kipindi hiki kigumuHizo hela bora wangezitumia kuajiri walimu wapya.
Serikali sometimes huwa siielewi , sijui hata inawaza nini [emoji16].
Lazima kuna upigaji tu hapo[emoji23]Kama anaenda yeye dukani sawa ila kama hizo billion 50 zitapitia kwenye mikono ya watu basi hamna jipya
Badala ya vitabu kuongezeka zitaongezeka nyumba na magari ya watendaji wa hilo zoezi😂Lazima kuna upigaji tu hapo[emoji23]
Tena wakati huu upigaji nje nje..Bora kipindi Cha Anko legendary.
Na hakuna chochote kitafanyika.Badala ya vitabu kuongezeka zitaongezeka nyumba na magari ya watendaji wa hilo zoezi[emoji23]
Kwani hamuwezi kununua kabisa afu ndo mnakuja kutuambia, pumbavu ninyi ni lini mmeteleleza ahadi.Serikali kupitia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe.Ummy Mwalimu imesema imetenga Shilingi Bilioni 50 kwenye Bajeti ya mwaka 2021/22 kwa ajili ya kununua Vitabu vya Kiada kwa wanafunzi wote wa msingi na Sekondari Nchini.
.
Mhe.Ummy Mwalimu ameyasema hayo leo alipokua akizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Bugumbikiso Kata ya Chifunfu Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema walipolalamikia uhaba wa vitabu shuleni hapo, ambapo amesema kupatikana kwa vitabu hivyo kutasaidia kila mwanafunzi kupata kitabu chake mwenyewe sawa na muongozo unavyotaka wa kitabu kimoja kwa Mwanafunzi mmoja yaani 1:1.
Lazima tu kutakuwa na upigaji.Serikali ya CCM ni sikivu tuwe watulivu katika kipindi hiki kigumu
Joining Instruction zote za F5 2021 moja kati ya mahtaji ya shule ni vitabu vya kiada. Hiyo bajeti itaanza kutumika lini?Serikali kupitia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Ummy Mwalimu imesema imetenga Shilingi Bilioni 50 kwenye Bajeti ya mwaka 2021/22 kwa ajili ya kununua Vitabu vya Kiada kwa wanafunzi wote wa msingi na Sekondari Nchini.
.
Mhe. Ummy Mwalimu ameyasema hayo leo alipokua akizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Bugumbikiso Kata ya Chifunfu Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema walipolalamikia uhaba wa vitabu shuleni hapo, ambapo amesema kupatikana kwa vitabu hivyo kutasaidia kila mwanafunzi kupata kitabu chake mwenyewe sawa na muongozo unavyotaka wa kitabu kimoja kwa Mwanafunzi mmoja yaani 1:1.