TAMISEMI: Mwanafunzi mmoja atatumia kitabu kimoja

TAMISEMI: Mwanafunzi mmoja atatumia kitabu kimoja

Vyumba vya madarasa havitoshi,
Walimu hawatoshi,
Mabweni shule za sekondari hayatoshi,
Matundu ya vyoo hayatoshi,
Kiujumla miundombinu ya sekta ya elimu haitoshelezi iweje huyu Maza atudanganye na jua ☀️ kali namna hii!! Aaaaaaargh
 
Siasa kila mahali... hata kwenye mambo ya msingi....hii nchi hii haaaaahh
 
Kitabu kimoja kwa kila somo au kimoja kama kimoko?

Porojo nyingine hii.
 
Back
Top Bottom