M mansoorsaid JF-Expert Member Joined May 31, 2014 Posts 1,498 Reaction score 286 Jul 19, 2014 #1 nawauliza tamisemi inahusika na viwango vya ufaulu wa wanafunzi? nimekuta tangazo kutoka ofisi ya waziri mkuu tamisemi eti ndio imepanga matokeo ya viwango vya ufaulu.nachojua ni wizara ya elimu sasa hapo tamisemi inahusikaje kwa hilo?
nawauliza tamisemi inahusika na viwango vya ufaulu wa wanafunzi? nimekuta tangazo kutoka ofisi ya waziri mkuu tamisemi eti ndio imepanga matokeo ya viwango vya ufaulu.nachojua ni wizara ya elimu sasa hapo tamisemi inahusikaje kwa hilo?