mansoorsaid
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 1,498
- 286
nawauliza tamisemi inahusika na viwango vya ufaulu wa wanafunzi? nimekuta tangazo kutoka ofisi ya waziri mkuu tamisemi eti ndio imepanga matokeo ya viwango vya ufaulu.nachojua ni wizara ya elimu sasa hapo tamisemi inahusikaje kwa hilo?