TAMISEMI na sarakasi za uhamisho wa Watumishi. Chaka jipya la kuwaibia Watumishi

Private investigator

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
303
Reaction score
287
Baada ya sarakasi za kuahidi kuwa watatoa uhamisho mara 4 kwa mwaka, sasa wamekuja na ESS wakati watumishi wamepoteza nauli na usumbufu mwingi ili kukamitisha paper work ambazo tayari TAMISEMI wanazo.

Kinachofanyika ni wizi na rushwa maana watu wanaotoa rushwa wanahama na vibali vinatoka. Huu ni uozo uliofichwa kwenye MCHAKATO
 
Baada ya sarakasi za kuahidi kuwa watatoa uhamisho mara 4 kwa mwaka, sasa wamekuja na ESS wakati watumishi wamepoteza nauli na usumbufu mwingi ili kukamitisha paper work ambazo tayari TAMISEMI wanazo. Kinachofanyika ni wizi na rushwa maana watu wanaotoa rushwa wanahama na vibali vinatoka. Huu ni uozo uliofichwa kwenye MCHAKATO
Daaah ni angle ipi haina rushwa mbona kila kona ni rushwa na wizi? Kama vipi hii Nchi akabidhiwe mchina na zile sheria zake za kunyongwa au kuozea gerezani iwe kiongoz yeyote!!
 
Tanzania inamiliki idara chache sana ambazo hazijihusishi na rushwa.
 
Zipi zitaje.
Hakuna idara yoyote isiyo na rushwa. Zingatia neno "yoyote"
Hivi na Huko NECTA Huwa Kuna rushwa? Mimi Huwa naamini kwamba labda Huko Kuna angalau kidogo but kwingineko naamini rushwa imetamalaki
 
Inamaana kwasasa mtumishi akitaka kuhama Hakuna haja kupitisha barua?
 
Kwa nini mnataka kuhama? Mmetafuta kazi, mmepewa, mmepangiwa kituo halafu unataka kuhama. Uhame utamua ha nani hapo ulipo? Mimi ningekuwa TAMISEMI ningepiga marufuki mambo ya kuomba uhamisho, sijui kutafuta mtu wa kubadilishana naye..Kama mwajiri ningehamisha watumishi pale ninapoona inahitajika kuziba pengo mahali tu.
 
Ndio maana sio TAMISEMI
 
Kweli TANZANIA Kuna vichaa wengi Sana kwahyo walio weka huu mfumo hawana akili...niseme tu kuwa ww ni mpumbavu
 
Kwa nini mnataka kuhama? Mmetafuta kazi, mmepewa, mmepangiwa kituo halafu unataka kuhama. Uhame utamua ha nani hapo ulipo? Mimi ningekuwa TAMISEMI ningepiga marufuki mambo ya kuomba uhamisho, sijui kutafuta mtu wa kubadilishana naye..Kama mwajiri ningehamisha watumishi pale ninapoona inahitajika kuziba pengo mahali tu.
Yaan uzuie ulaji nan atakuelewa? Create matatizo na urasimu wafanye watu watoe rushwa maisha yaende
 
Kwa nini mnataka kuhama? Mmetafuta kazi, mmepewa, mmepangiwa kituo halafu unataka kuhama. Uhame utamua ha nani hapo ulipo? Mimi ningekuwa TAMISEMI ningepiga marufuki mambo ya kuomba uhamisho, sijui kutafuta mtu wa kubadilishana naye..Kama mwajiri ningehamisha watumishi pale ninapoona inahitajika kuziba pengo mahali tu.
Mungu alilijua hili
Kweli Mungu FUNDI..!!!

#YNWA
 
Back
Top Bottom