TAMISEMI na sarakasi za uhamisho wa Watumishi. Chaka jipya la kuwaibia Watumishi

Huko kwenye mfumo Kuna kijamaa wamekiweka kinaitwa TIBA MANONI ni kiazi akili mdogo kinoma halfu ndio customer care.

Nchi hii bana
 
Kwa nini mnataka kuhama? Mmetafuta kazi, mmepewa, mmepangiwa kituo halafu unataka kuhama. Uhame utamua ha nani hapo ulipo? Mimi ningekuwa TAMISEMI ningepiga marufuki mambo ya kuomba uhamisho, sijui kutafuta mtu wa kubadilishana naye..Kama mwajiri ningehamisha watumishi pale ninapoona inahitajika kuziba pengo mahali tu.

Ndiyo maana hujawa. Wewe unataka uhamishe, ila hutaki wao waombe uhamisho.

Unajua kero ya kumhamisha mtumishi bila ridhaa yake? Ndiyo maana ukawepo utaratibu unaoweka mizania kwa pande zote.
 
Kwa nini mnataka kuhama? Mmetafuta kazi, mmepewa, mmepangiwa kituo halafu unataka kuhama. Uhame utamua ha nani hapo ulipo? Mimi ningekuwa TAMISEMI ningepiga marufuki mambo ya kuomba uhamisho, sijui kutafuta mtu wa kubadilishana naye..Kama mwajiri ningehamisha watumishi pale ninapoona inahitajika kuziba pengo mahali tu.
Kwa nini yenyewe serikali isiweke kipengele cha muajiriwa kuchagua sehemu anayotaka kukaa kikazi?.Mtu aliyehitimu masomo yake na kukaa nje ya ajira kwa miaka 5 hadi 10,unafikiri akiajiriwa na kupelekwa mbali na sehemu yake aliyokaa kwa ujasilia mali na kujenga familia atafurahi kupelekwa mbali?.
Serikali iweke kipengele cha kuchagua sehemu anayotaka kupangwa muajiriwa mpya katika vipengele vya kuomba kazi ili mtu ajiriwe kwa kituo alicho chagua.
 
Ngumu sana mana kuna maeneo hayana wasomi hivyo yatakuwa na upungufu mkubwa,na wasomi wengi hupenda kukaa mijini hivyo sehemu za vijijini zitakosa watumishi,

Hoja ya msingi mtumishi akitaka kuhama azingatie vigezo na asikilizwe kama nastahili ahame. Mana uhamisho ni haki ya mtumishi.
 
Hivi ndivyo ilivyo.Ila sasa wapo watu wasiotaka uhamisho uwepo kwa watumishi ili hali kuna watu wapo mbali na familia zao na mazingira hayawaruhusu kuishi na familia huko walipo.Mfano miaka hii miwili kuna watumishi wameajiriwa wakiwa tayari na familia za hadi zaidi ya watoto watatu,walishajenga na wanamiradi huko.Unafikiri watumishi wa aina hii wataweza kuacha kila kitu huko na kukaa waliko ajiriwa kwa miaka yote?Jibu ni haiwezekani ni lazima watataka kurudi katika familia na mazingira yao kwa sababu kuanza kuijenga familia upya na kwa kipato cha mtumishi kama mwalimu katika mazingira mapya ni ngumu.
 
Back
Top Bottom