Private investigator
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 303
- 287
Daaah ni angle ipi haina rushwa mbona kila kona ni rushwa na wizi? Kama vipi hii Nchi akabidhiwe mchina na zile sheria zake za kunyongwa au kuozea gerezani iwe kiongoz yeyote!!Baada ya sarakasi za kuahidi kuwa watatoa uhamisho mara 4 kwa mwaka, sasa wamekuja na ESS wakati watumishi wamepoteza nauli na usumbufu mwingi ili kukamitisha paper work ambazo tayari TAMISEMI wanazo. Kinachofanyika ni wizi na rushwa maana watu wanaotoa rushwa wanahama na vibali vinatoka. Huu ni uozo uliofichwa kwenye MCHAKATO
Tanzania inamiliki idara chache sana ambazo hazijihusishi na rushwa.
Zipi zitaje.Tanzania inamiliki idara chache sana ambazo hazijihusishi na rushwa.
Zitaje nihame nchi!!Tanzania inamiliki idara chache sana ambazo hazijihusishi na rushwa.
Hivi na Huko NECTA Huwa Kuna rushwa? Mimi Huwa naamini kwamba labda Huko Kuna angalau kidogo but kwingineko naamini rushwa imetamalakiZipi zitaje.
Hakuna idara yoyote isiyo na rushwa. Zingatia neno "yoyote"
Tena kile kitengo chao cha usalama barabarani ndiyo kinaongoza kwa kutopokea kabisa rushwa.Ya kwanza Polisi
ukipata jibu la hili ushare nasi kiongozi .....Inamaana kwasasa mtumishi akitaka kuhama Hakuna haja kupitisha barua?
Ndio maana sio TAMISEMIKwa nini mnataka kuhama? Mmetafuta kazi, mmepewa, mmepangiwa kituo halafu unataka kuhama. Uhame utamua ha nani hapo ulipo? Mimi ningekuwa TAMISEMI ningepiga marufuki mambo ya kuomba uhamisho, sijui kutafuta mtu wa kubadilishana naye..Kama mwajiri ningehamisha watumishi pale ninapoona inahitajika kuziba pengo mahali tu.
Kweli TANZANIA Kuna vichaa wengi Sana kwahyo walio weka huu mfumo hawana akili...niseme tu kuwa ww ni mpumbavuKwa nini mnataka kuhama? Mmetafuta kazi, mmepewa, mmepangiwa kituo halafu unataka kuhama. Uhame utamua ha nani hapo ulipo? Mimi ningekuwa TAMISEMI ningepiga marufuki mambo ya kuomba uhamisho, sijui kutafuta mtu wa kubadilishana naye..Kama mwajiri ningehamisha watumishi pale ninapoona inahitajika kuziba pengo mahali tu.
Yaan uzuie ulaji nan atakuelewa? Create matatizo na urasimu wafanye watu watoe rushwa maisha yaendeKwa nini mnataka kuhama? Mmetafuta kazi, mmepewa, mmepangiwa kituo halafu unataka kuhama. Uhame utamua ha nani hapo ulipo? Mimi ningekuwa TAMISEMI ningepiga marufuki mambo ya kuomba uhamisho, sijui kutafuta mtu wa kubadilishana naye..Kama mwajiri ningehamisha watumishi pale ninapoona inahitajika kuziba pengo mahali tu.
zitajee hizo idara, hadi mochwari rushwa ipo, hadi ikulo kwa mazaa mwenyeweTanzania inamiliki idara chache sana ambazo hazijihusishi na rushwa.
Yakwanza Takukuru 🤣Tanzania inamiliki idara chache sana ambazo hazijihusishi na rushwa.
Mungu alilijua hiliKwa nini mnataka kuhama? Mmetafuta kazi, mmepewa, mmepangiwa kituo halafu unataka kuhama. Uhame utamua ha nani hapo ulipo? Mimi ningekuwa TAMISEMI ningepiga marufuki mambo ya kuomba uhamisho, sijui kutafuta mtu wa kubadilishana naye..Kama mwajiri ningehamisha watumishi pale ninapoona inahitajika kuziba pengo mahali tu.
Yakwanza Takukuru [emoji1787]