Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Hivi na Huko NECTA Huwa Kuna rushwa? Mimi Huwa naamini kwamba labda Huko Kuna angalau kidogo but kwingineko naamini rushwa imetamalaki
ukipata jibu la hili ushare nasi kiongozi .....
Jibu ni ndio unaweza kuhama bila hata ya kupitisha baruaInamaana kwasasa mtumishi akitaka kuhama Hakuna haja kupitisha barua?
Kwa nini mnataka kuhama? Mmetafuta kazi, mmepewa, mmepangiwa kituo halafu unataka kuhama. Uhame utamua ha nani hapo ulipo? Mimi ningekuwa TAMISEMI ningepiga marufuki mambo ya kuomba uhamisho, sijui kutafuta mtu wa kubadilishana naye..Kama mwajiri ningehamisha watumishi pale ninapoona inahitajika kuziba pengo mahali tu.
Kwa nini yenyewe serikali isiweke kipengele cha muajiriwa kuchagua sehemu anayotaka kukaa kikazi?.Mtu aliyehitimu masomo yake na kukaa nje ya ajira kwa miaka 5 hadi 10,unafikiri akiajiriwa na kupelekwa mbali na sehemu yake aliyokaa kwa ujasilia mali na kujenga familia atafurahi kupelekwa mbali?.Kwa nini mnataka kuhama? Mmetafuta kazi, mmepewa, mmepangiwa kituo halafu unataka kuhama. Uhame utamua ha nani hapo ulipo? Mimi ningekuwa TAMISEMI ningepiga marufuki mambo ya kuomba uhamisho, sijui kutafuta mtu wa kubadilishana naye..Kama mwajiri ningehamisha watumishi pale ninapoona inahitajika kuziba pengo mahali tu.
Ebu nipe SBC za mfumo mpya wa online zilivyo.Huko kwenye mfumo Kuna kijamaa wamekiweka kinaitwa TIBA MANONI ni kiazi akili mdogo kinoma halfu ndio customer care.
Nchi hii bana
Kwa nini yenyewe serikali isiweke kipengele cha muajiriwa kuchagua sehemu anayotaka kukaa kikazi?.Mtu aliyehitimu masomo yake na kukaa nje ya ajira kwa miaka 5 hadi 10,unafikiri akiajiriwa na kupelekwa mbali na sehemu yake aliyokaa kwa ujasilia mali na kujenga familia atafurahi kupelekwa mbali?.
Serikali iweke kipengele cha kuchagua sehemu anayotaka kupangwa muajiriwa mpya katika vipengele vya kuomba kazi ili mtu ajiriwe kwa kituo alicho chagua.
Hivi ndivyo ilivyo.Ila sasa wapo watu wasiotaka uhamisho uwepo kwa watumishi ili hali kuna watu wapo mbali na familia zao na mazingira hayawaruhusu kuishi na familia huko walipo.Mfano miaka hii miwili kuna watumishi wameajiriwa wakiwa tayari na familia za hadi zaidi ya watoto watatu,walishajenga na wanamiradi huko.Unafikiri watumishi wa aina hii wataweza kuacha kila kitu huko na kukaa waliko ajiriwa kwa miaka yote?Jibu ni haiwezekani ni lazima watataka kurudi katika familia na mazingira yao kwa sababu kuanza kuijenga familia upya na kwa kipato cha mtumishi kama mwalimu katika mazingira mapya ni ngumu.Ngumu sana mana kuna maeneo hayana wasomi hivyo yatakuwa na upungufu mkubwa,na wasomi wengi hupenda kukaa mijini hivyo sehemu za vijijini zitakosa watumishi,
Hoja ya msingi mtumishi akitaka kuhama azingatie vigezo na asikilizwe kama nastahili ahame. Mana uhamisho ni haki ya mtumishi.