TAMISEMI na tabia ya kukwamisha uhamisho wa Watumishi

Niwaheri

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,994
Reaction score
4,729
Jamani mkwe wa samia emu fanya makeke kama uliyofanya kule utumishi,tamisemi wanazingua sana,imagine maombi ya uhamisho tena wa kubadilishana wamepokea toka juni sasa wanachakata nini mda wote huo?

Mmekaa ofisini mnazungusha matako hamjui shida zetu sio?
 
Yaani we acha tu, kazi kuzungusha matako tu.....
 
Back
Top Bottom