TAMISEMI tangu Watangaze nafasi za kujitolea kwa walimu wa sayansi mpaka leo Kuna account unaambiwa user account is locked

TAMISEMI tangu Watangaze nafasi za kujitolea kwa walimu wa sayansi mpaka leo Kuna account unaambiwa user account is locked

HeCityhunter

New Member
Joined
Aug 15, 2018
Posts
3
Reaction score
3
Tamisemi tokea Watangaze nafasi za kujitolea kwa walimu wa sayansi mpaka Leo hii Kuna account ukiingia unaambiwa user account is locked

Ukiwapigia simu na wao hawaelew tena mmoja kaniambia tafuta namna ya kufanya maana sisi huku hatuna shida.

1768650458948.png
 
Back
Top Bottom