Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Komaa mama, huyo DED atabanaa na mwishowe ataachia..!!!Kuna vitu sivielewi yaaani halmashauri ya wilaya inaweza kukaidi maelekezo yanayotolewa na tamisemi. Yaani kibali cha kuhama tamisemi kinatoka wilayani wanakwambia uhami mpk ubadilishane? Sijajua chain of command inakuwaje?! Nisaidiiane wana jamvi
Hakuna mahali popote kwenye sheria inataka uhamisho wa kubadilishana ni wapuuzi tu ndio wameleta hii upuuzi...na waliotumika sana ni walimu.Tanzania kuna uonevu sana. Mfanyakazi amekaa kituo kimoja kwa miaka zaidi ya 10! Anaomba uhamisho wa kujigharamia mwenyewevkwenda Halmashauri nyingine, na kwa sababu zake za msingi; ikiwemo ya kuwa karibu na mwenzi wake!
Amiomba uhamisho anaambiwa atafute mtu wa kubadilishana naye! Halafu mfanyakazi kama huyu akikosa huyo mtu wa kubadilishana naye, na kuamua kwenye hicho kituo chake cha kazi, bado anatakiwa kufanya kazi kwa ari na moyo!!
Hii sheria ya kubadilishana ni ya kidwanzi sana. Na aliyeianzisha naamini kabisa kichwani mwake kumejaa matope.
Hili jambo linakera sana kwa kweli. Na kimsingi linachangia pia kwenye kuzorotesha utoaji wa huduma bora, kwa wafanyakazi wengi waliozuiliwa kuhama kwa sababu tu za kipuuzi.Hakuna mahali popote kwenye sheria inataka uhamisho wa kubadilishana ni wapuuzi tu ndio wameleta hii upuuzi...na waliotumika sana ni walimu.
Uhamisho unafahamika na tartibu zake kulingana na sheria.
#MaendeleoHayanaChama
Kweli kabisaHili jambo linakera sana kwa kweli. Na kimsingi linachangia pia kwenye kuzorotesha utoaji wa huduma bora, kwa wafanyakazi wengi waliozuiliwa kuhama kwa sababu tu za kipuuzi.
WaJe tuuuuuuuuNgoja waje kutoa miongozo...
Utapata tuuu kijana Mungu atakusaidiaHuu uzi wa wenye ajira tu sisi wa mtaani tuendelee kusambaza cv
Halmashauri ndio kwenye wafanyakazi wa serikali toleo la mwisho...wamejaa husuda..chuki na wivu dhidi ya wenzao.Hivi kwanini halmashauri wamekuwa hawatiii maagizo ya tamisemi!? Wajuzi wenye ufahamu tuanzie hapo
Hicho kibali umekiona?Kuna vitu sivielewi yaaani halmashauri ya wilaya inaweza kukaidi maelekezo yanayotolewa na tamisemi. Yaani kibali cha kuhama tamisemi kinatoka wilayani wanakwambia uhami mpk ubadilishane? Sijajua chain of command inakuwaje?! Nisaidiiane wana jamvi
Mimi nimwanasykolojia bila shaka wewe ni mwalimu. Nakushauri acha kulalamika badala yake acha hii kazi niyakitumwaTanzania kuna uonevu sana. Mfanyakazi amekaa kituo kimoja kwa miaka zaidi ya 10! Anaomba uhamisho wa kujigharamia mwenyewevkwenda Halmashauri nyingine, na kwa sababu zake za msingi; ikiwemo ya kuwa karibu na mwenzi wake!
Amiomba uhamisho anaambiwa atafute mtu wa kubadilishana naye! Halafu mfanyakazi kama huyu akikosa huyo mtu wa kubadilishana naye, na kuamua kwenye hicho kituo chake cha kazi, bado anatakiwa kufanya kazi kwa ari na moyo!!
Hii sheria ya kubadilishana ni ya kidwanzi sana. Na aliyeianzisha naamini kabisa kichwani mwake kumejaa matope.