Huu upuzi ndo sitakagi. Niliwahi gombana na mkurungezi kwa issue kama hii. Mke wangu anaumwa nikafanya juu chini nikapata uhamisho toka wizaran mkurungezi akawa anazengua. Nikamfata Nikamwambia unanipa kibali hunipi. Akajibu sikupi. Nikamwambia naishi na mke wangu na ni Bora kuliko mshahara.
Asubuh yake napigiwa simu kibali tayari. Na nikamwambia aniandalie mafao ya uhamisho haraka ndo nitaondoka. Akanijibu usitumangie lini tutakulipa. Siku iliyofata akapigiwa simu toka tamisemi kwanin anasumbua wafanyakazi. Malipo yalifanyika ndana ya siku tatu. Nikasepa.
Na huo ndo ukawa mwisho wa Mimi kua mtumwa wa kuajiriwa. Kazi ikaishia hapo Hadi leo
Sent from my TECNO KG6 using
JamiiForums mobile app