TAMISEMI toeni ufafanuzi wa kuhama ambao huwa unakataliwa na Halmashauri

Kuna vitu sivielewi yaaani halmashauri ya wilaya inaweza kukaidi maelekezo yanayotolewa na tamisemi. Yaani kibali cha kuhama tamisemi kinatoka wilayani wanakwambia uhami mpk ubadilishane? Sijajua chain of command inakuwaje?! Nisaidiiane wana jamvi
Unataka kuhamia wapi na unatoka wapi? hapo ndiyo tunaweza kukusaidia mkuu
 
Hili jambo linakera sana kwa kweli. Na kimsingi linachangia pia kwenye kuzorotesha utoaji wa huduma bora, kwa wafanyakazi wengi waliozuiliwa kuhama kwa sababu tu za kipuuzi.
Huu upuzi ndo sitakagi. Niliwahi gombana na mkurungezi kwa issue kama hii. Mke wangu anaumwa nikafanya juu chini nikapata uhamisho toka wizaran mkurungezi akawa anazengua. Nikamfata Nikamwambia unanipa kibali hunipi. Akajibu sikupi. Nikamwambia naishi na mke wangu na ni Bora kuliko mshahara.

Asubuh yake napigiwa simu kibali tayari. Na nikamwambia aniandalie mafao ya uhamisho haraka ndo nitaondoka. Akanijibu usitumangie lini tutakulipa. Siku iliyofata akapigiwa simu toka tamisemi kwanin anasumbua wafanyakazi. Malipo yalifanyika ndana ya siku tatu. Nikasepa.

Na huo ndo ukawa mwisho wa Mimi kua mtumwa wa kuajiriwa. Kazi ikaishia hapo Hadi leo

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Nipo katika hatua za awali lkn kama akingua nitamzingua
 
Hawa jamaa ukiwa mnyonge watakusumbua sana yani utaonewa..chamsingi ni kuwa jeuri tu chamsingi madai yako yawe ya haki.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna vitu sivielewi yaaani halmashauri ya wilaya inaweza kukaidi maelekezo yanayotolewa na tamisemi. Yaani kibali cha kuhama tamisemi kinatoka wilayani wanakwambia uhami mpk ubadilishane? Sijajua chain of command inakuwaje?! Nisaidiiane wana jamvi
Nchi hii ni ya hovyo Sana! Shithole country!
 
Back
Top Bottom