Tamisemi tunaomba angalau mwaka huu muwachukue Waliosoma Postgraduate Diploma Ualimu kwa Makubaliano

Joan lewis

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2019
Posts
993
Reaction score
1,463
Jaman hebu mwakahuu kwenye hizi muwakumbuke waliosoma stashahada ya uzamili. Wengine wamemalza Tangu mwaka 2014. UDSM kwanini mnawaacha?

Hakuna mtu anatafuta special seat ya mshahara ila walisoma ili wapate nafasi ya kupractice passion zao za kufundisha. Baada ya kuchaguliwa Kozi nyingine diploma or Degree. Na kama mnawasiwasi wataondoka wakipata kwingine wapeni mikataba wafanye hata Ten Years ya mwanzo. [emoji53][emoji53]

Mkiwavalia miwani Nia yenu njema itakuwa Doa Hata Mbele za Allah.
 
Aliyeshiba ni nadra sana kumkumbuka mwenye njaa.

Umenena vyema, wataelewa usemacho. Ila sidhani kama watakipa uzito, maana kupata ajira imekuwa ni ajira Kwa watu wengine.

Sijui kama umenielewa
 
Nimekuelewa. Lakin ukishiba mwenyewe mtaa mzima na ukawa na amani. Huenda wewe si kiumbe uliyeumbwa. Maana kama Binadamu wa kawaida utakuwa na Moyo huo ni vipi viumbe vitavyokuwa cloned au created artificially?

Nimekumbuka movie ya World in 2049. Mdada aliyeundwa kamchoma mama ake kisu maana alimdanganya.

Mwisho Twaamini kwa nia njema ya Awamu hii ya 6 wataelewa.
 
Ni heri kumuelewesha mtu asiyeelewa, walau unakuwa na matumaini anaweza akaelewa. Ila kumuelewesha mtu ambae ameamua kutoelewa, hapo ni kutwanga maji kwenye kinu. Haya tunayoyasema yote wanayafahamu kwa uzuri kabisa, na hata wakiwa kwenye media wanayaongea kama hivi, ila kwenye utekelezaji wanafanya iwaoendezavyo wao.

Hapo kwenye bold, naomba nikukumbushe kuwa Awamu zinabadilika, ila watu ni wale wale, kamati ni zile zile na utendaji ni ule ule. Wanabadilishana vitengo tu.
 
Ni kweli Kila kitu kinaanza na uamuzi binafsi mengine hufall kwenye nafasi.
 
Ni heri kumuelewesha mtu asiyeelewa, walau unakuwa na matumaini anaweza akaelewa. Ila kumuelewesha mtu ambae ameamua kutoelewa, hapo ni kutwanga maji kwenye kinu. Haya tunayoyasema yote wanayafahamu kwa uzuri kabisa, na hata wakiwa kwenye media wanayaongea kama hivi, ila kwenye utekelezaji wanafanya iwaoendezavyo wao.

Hapo kwenye bold, naomba nikukumbushe kuwa Awamu zinabadilika, ila watu ni wale wale, kamati ni zile zile na utendaji ni ule ule. Wanabadilishana vitengo tu.
Sasa unaweza kuta mpka mtu analipa tena ada kusoma hiyo ngazi. Ujue ni kipimo sahihi kisicho na sense yoyote ya doubt kwamba ana passion nayo.

Sio hao walioingia wakasoma miaka 3 ama miwili kumbe wanatafuta michongo wala hawana hata hobby. .

Mwisho wa siku utasikia wanafunz wamebakwa na walimu wamechapwa mpk kufa. Walimu watoro, walevi, migogoro, au hata kukopa pesa na kusepa.

Waliosema kuna Kada zinahitaji wito hawakukosea. Mkuu.
 
Na kadiri mnavyozidi kuwa wengi, ndio hali inavyozidi kuwa ngumu. Maana competition inaongezeka pia kubebana na rushwa vinaongezeka
 
Sasa unaweza kuta mpka mtu analipa tena ada kusoma hiyo ngazi. Ujue ni kipimo sahihi kisicho na sense yoyote ya doubt kwamba ana passion nayo.

Sio hao walioingia wakasoma miaka 3 ama miwili kumbe wanatafuta michongo wala hawana hata hobby. .

Mwisho wa siku utasikia wanafunz wamebakwa na walimu wamechapwa mpk kufa. Walimu watoro, walevi, migogoro, au hata kukopa pesa na kusepa.

Waliosema kuna Kada zinahitaji wito hawakukosea. Mkuu.
Mkuu Tanzania hapa walimu mnahitajika tatizo ni pesa only
 
Back
Top Bottom