A
Anonymous
Guest
TAMISEMI hasa upande wa LGA Hawajali masilahi ya Watumishi wao kila siku watu wanalamika hakuna majibu yanayojibiwa.
Tasisi zote zilizo na miradi ya Ujenzi Kuna hela inakuwepo kwa ajili ya wasimamizi wa miradi na inawifikia wahusika ambazo asilimia kubwa ni wahandisi.
Kwa upande wa LGA miradi inakuwepo lakini hela za usimamizi hazipo kabisa wahandisi tunaosimamia miradi ya halmashauri tunafanya kazi kubwa na nzuri hatuthaminiwi, je mamlaka inashidwa kuliona Hilo? Au hela inakuwepo na inapigwa juu Kwa juu na kushindwa kuwafikia watekelezaji wa miradi walioko halmashauri zetu?
Huko mbeleni ikitokea hela za usimamizi zimetoka tutajikuta Afisa elimu, DMO, Diwani, Mkurugenzi, DT n.k na wenyewe watahitaji walipwe huku mhusika mkuu ambaye ni Civil Engineer hataambulia chochote
Tunaomba mfikishe ujumbe huu ili tupate majibu sahihi kwa mamlaka