NUUMA BAKUNYA
Member
- Feb 19, 2013
- 23
- 1
Kuna walimu wangi wameachwa bila kupewa ajira bask kama Kuna mtu Ana any neeeeez kutoka tamisemi naomba anijuze
Be patient any time frm now onwards things will be cleared.
what next wakuu?,maana leo ni karibia nusu ya mwezi wa tano but no news from tamisemi about us(the victims of unemployment)
hakuna ajira tena kwa mwaka huu,subirini mwakani.
SOURCE: kasim majaliwa TBC1
Kilichobaki twendeni dodoma tamisemi,watuambie nini kinaendelea
Vyuo vya ualimu vifungwe kama hakuna ajira wafungue vyuo vya upishi na uselemala.
hakuna ajira tena kwa mwaka huu,subirini mwakani.
SOURCE: kasim majaliwa TBC1
Uko sawa chemichemi,hicho ndo kilichobaki
Izo taarifa kazitoa lini
unajua mimi sipendi mtu aongee kitu from no where,je una uhakika na hzo habari?
serikali inaangalia upepo, walimu tukinyamaza ajira itakuwa mwakani, lakini tukiikomalia serikali kuhusu hatima yetu tutaajiriwa, hivyo ningeshauri tuwaeleze wabunge kilio chetu nadhani kupitia wao tutasikilizwa.