Tamisemi vipi ajira ya walimu awamu ya pili 2013/2014 lini

Tamisemi vipi ajira ya walimu awamu ya pili 2013/2014 lini

nadhani wadau wa jf wanaweza kutusaidia kupata account zao za jf au facebook nk.

Hatahivyo tujitahidi kuhamasisha wenzetu wengine tuelekee dodoma,tuweze kupata jibu la moja kwa moja,ilitujue moja tusitegemee sana jf na mitandao mingine ya kijamii,humu nimeona longolongo ni nyingi na kukatishana tamaa.
 
wale wa uhamisho wa vibali maalum majina yamewekwa

tatizo la serekali ya kikwete haiwez kusema ukwel na haijal kua inawapotezea vijana mda wao kwa kusubir kitu kisichoeleweka kua kipo au hakipo.
 
Back
Top Bottom