J joshua edward Member Joined Mar 29, 2014 Posts 5 Reaction score 0 May 10, 2014 #21 nadhani wadau wa jf wanaweza kutusaidia kupata account zao za jf au facebook nk.
chemichemi Senior Member Joined Apr 5, 2014 Posts 116 Reaction score 3 May 10, 2014 #22 joshua edward said: nadhani wadau wa jf wanaweza kutusaidia kupata account zao za jf au facebook nk. Click to expand... Hatahivyo tujitahidi kuhamasisha wenzetu wengine tuelekee dodoma,tuweze kupata jibu la moja kwa moja,ilitujue moja tusitegemee sana jf na mitandao mingine ya kijamii,humu nimeona longolongo ni nyingi na kukatishana tamaa.
joshua edward said: nadhani wadau wa jf wanaweza kutusaidia kupata account zao za jf au facebook nk. Click to expand... Hatahivyo tujitahidi kuhamasisha wenzetu wengine tuelekee dodoma,tuweze kupata jibu la moja kwa moja,ilitujue moja tusitegemee sana jf na mitandao mingine ya kijamii,humu nimeona longolongo ni nyingi na kukatishana tamaa.
sulle23 JF-Expert Member Joined Apr 1, 2014 Posts 230 Reaction score 14 May 15, 2014 #23 wale wa uhamisho wa vibali maalum majina yamewekwa
K kireri jr JF-Expert Member Joined May 10, 2014 Posts 227 Reaction score 42 May 15, 2014 #24 sulle23 said: wale wa uhamisho wa vibali maalum majina yamewekwa Click to expand... tatizo la serekali ya kikwete haiwez kusema ukwel na haijal kua inawapotezea vijana mda wao kwa kusubir kitu kisichoeleweka kua kipo au hakipo.
sulle23 said: wale wa uhamisho wa vibali maalum majina yamewekwa Click to expand... tatizo la serekali ya kikwete haiwez kusema ukwel na haijal kua inawapotezea vijana mda wao kwa kusubir kitu kisichoeleweka kua kipo au hakipo.