post tayari mkuu
nipm nikutumie umepangiwa wapi
ni pm nikutumie kwa shahada tuu
Huna blog aisee?
Kama hauna tengeneza fasta uturushie hayo majina aisee maana serikali imeshindwa.
Sasa nyie vijana mnahangaika kuwapa taarifa hao wanaosema wanamajina,hata mkijua mmepangwa wapi na serikal haijatangaza mtaenda kuripot makaburini????walim mnachezewa akili kama watoto wa nasari bhana,,,,yaan umemaliza shahada tangu nov mwaka jana unakaa tu bila kazi,mwalim wa degree,tena ukisomea degree husomei ualim tu kuna mambo meeengi,,,,,,subirin serikal itangaze hapa nawaona mnahangaika,polen sana aisee
Halafu ninyi ambao mnadai majina mnayo mbona na nyinyi mpo kama TAMISEMI NA MOEVT maana hamfunguki watu wakaelewa tunapata tabu huku mitaani kuulizwa kila wakati utasikia ebhana eeh umepangiwa wapi? Hawajuw yanayotusibu kwa kweli.