TAMISEMI wafunguka.

TAMISEMI wafunguka.

Status
Not open for further replies.
wawa PM kitu gani kama una hiyo PDF si uweke hapa
 
Sasa nyie vijana mnahangaika kuwapa taarifa hao wanaosema wanamajina,hata mkijua mmepangwa wapi na serikal haijatangaza mtaenda kuripot makaburini????walim mnachezewa akili kama watoto wa nasari bhana,,,,yaan umemaliza shahada tangu nov mwaka jana unakaa tu bila kazi,mwalim wa degree,tena ukisomea degree husomei ualim tu kuna mambo meeengi,,,,,,subirin serikal itangaze hapa nawaona mnahangaika,polen sana aisee

Serikali ilishatangaza kuripoti tareho moja mwezi wa nne, labda wabadilishe.
 
usiongee usichokijua vijana wameambiwa waripoti kuanzia tarehe moja April 2014 mwisho 10 April 2014.usikalie habari acha habari isambae

Umeniwahi mkuu, suala la tutaripoti wapi linawahusu serikali wenyewe.
 
usiongee usichokijua vijana wameambiwa waripoti kuanzia tarehe moja April 2014 mwisho 10 April 2014.usikalie habari acha habari isambae
Wewe ndo unaandika usichokijua,hebu piga hesabu za kawaida jana ilikua ni tarehe ngapi?na wanatakiwa kuripot tarehe ngapi?ni siku ngapi zimebaki kufikia tarehe moja aprili,na siku ngapi zimebakia kufika aprili 10?serikali inapotoa majina huwapa watu wiki 2 za kuripot sasa leo tarehe 16 wanapaswa kuanza kuripot tarehe 1 unadhan bado siku ngapi mwezi kuisha?Uvivu wa kujiajiri ndo unakusumbua,unadhan unaweza kuyatoa maisha kwa mshahara wa 589,000/= kabla ya makato?hapo bado HESLB hawajaanza kufanya yao,think twice
 
Ni PM e-mail yako nikutumie kuweka hapa imegoma...tupia email nikupatie hayo majina tafadhari.
 
...nimepakua huko na kupakia hapa...

Good job Mkuu. Kazi nzuri.

Ukiwa na UC Browser unaweza ku'preview yaani ku'check file contents directly. Hii itasaidia kama simu yako inazingua au haina document viewer ya kueleweka.
 
hata hiyo blog inasumbua INA load hadi inagoma kama si kwangu tu

Nipo nna download pdf hapa kutoka www.farididzone.com.
Ukihitaji quote hii post nkwambie.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom