Sasa nyie vijana mnahangaika kuwapa taarifa hao wanaosema wanamajina,hata mkijua mmepangwa wapi na serikal haijatangaza mtaenda kuripot makaburini????walim mnachezewa akili kama watoto wa nasari bhana,,,,yaan umemaliza shahada tangu nov mwaka jana unakaa tu bila kazi,mwalim wa degree,tena ukisomea degree husomei ualim tu kuna mambo meeengi,,,,,,subirin serikal itangaze hapa nawaona mnahangaika,polen sana aisee
Tunatiana presha kweli.
Wewe ndo unaandika usichokijua,hebu piga hesabu za kawaida jana ilikua ni tarehe ngapi?na wanatakiwa kuripot tarehe ngapi?ni siku ngapi zimebaki kufikia tarehe moja aprili,na siku ngapi zimebakia kufika aprili 10?serikali inapotoa majina huwapa watu wiki 2 za kuripot sasa leo tarehe 16 wanapaswa kuanza kuripot tarehe 1 unadhan bado siku ngapi mwezi kuisha?Uvivu wa kujiajiri ndo unakusumbua,unadhan unaweza kuyatoa maisha kwa mshahara wa 589,000/= kabla ya makato?hapo bado HESLB hawajaanza kufanya yao,think twiceusiongee usichokijua vijana wameambiwa waripoti kuanzia tarehe moja April 2014 mwisho 10 April 2014.usikalie habari acha habari isambae
angalia post yangu hapo juu au nenda faridid zone, kuna majina sehemu ya pili tu
Ni PM e-mail yako nikutumie kuweka hapa imegoma...tupia email nikupatie hayo majina tafadhari.
Anayetaka atupie jina hapa.
Mkuu mbona inafunguka na hiyo PDF nimeidownloadhata hiyo blog inasumbua INA load hadi inagoma kama si kwangu tu
Mkuu mbona inafunguka na hiyo PDF nimeidownload, check post 32 kongo ameshaiwekahata hiyo blog inasumbua INA load hadi inagoma kama si kwangu tu
Ni PM e-mail yako nikutumie kuweka hapa imegoma...tupia email nikupatie hayo majina tafadhari.
...nimepakua huko na kupakia hapa...