Xhizo de incredible
Member
- Nov 14, 2018
- 74
- 123
Watu happy juu wamesema inakubali kuomba mkoa mmoja tuuHaiwezekan ikawa hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu happy juu wamesema inakubali kuomba mkoa mmoja tuuHaiwezekan ikawa hivyo
Wakuu em tujaribu kusoma comment zenye uhakika, ndugu yetu Mwifwa alishatoa maelezo kuwa unapoomba kazi flani ambayo ipo kwenye mikoa kadhaa bc ukiomba kwenye mkoa mmoja hy hy application ndio itakuwa umeomba kwenye mikoa yote yenye uhitaji wa hy ajira automatically na akaonyesha hadi picha.Watu happy juu wamesema inakubali kuomba mkoa mmoja tuu
Recommendations letter ina option ya kufuta, ifute.Cheti ni kimoja hicho hicho cha chuo na kipo valid ,ndio kimejiattach mara mbili na programme name ni iyo iyo na chuo kimeandikwa kile kile ila imetokea mara mbili, na kuhusu recommendation letter ni kama nilivyoelezea kuwa barua ile ya kawaida ya kuomba kazi ndio imekuwa attached pale na kule mwishoni ukitaka kusubmitt ameattach tena na maombi yamekuwa received na profilr ilikuwa na 100%
Mkuu wape vijana hints za muhimu ili angalau wapate nafasi ya kukandwa.Msisahau kuzisign barua zenu wakubwa ni muhimu pia
Mkuu nilitype barua yang kwa computer sehemu ya kusaini nikaingiza saini ambayo nilisaini kwa mkono na barua yangu niliandika kwa kiingereza je wakuu wanawaze kunikanda japo inaonesha iko verifiedMkuu wape vijana hints za muhimu ili angalau wapate nafasi ya kukandwa.
Kukosea application sio poa kabisa, bora ukakandwe ili ukose wa kumlaumu
Maombi nilishatuma na kwenye my application inaandikwa received ,sasa nikifuta si tayari imeenda iyo barua kwenye ile sehemu ya recommendation letter, au ninaweza kufuta na kutuma tena maombi ihali yalishapokelewa?Recommendations letter ina option ya kufuta, ifute.
Sehemu ya Saved Academic Qualifications ndii haina option ya kufuta, kama kitu hicho hicho kimejirudia haina shida
Barua iko sawa maana lazina usaini kwa mkono baada ya kuchapa na kompyuta huwa tunaisaini kwa mkonoMkuu nilitype barua yang kwa computer sehemu ya kusaini nikaingiza saini ambayo nilisaini kwa mkono na barua yangu niliandika kwa kiingereza je wakuu wanawaze kunikanda japo inaonesha iko verified
.
Pili niliattach chet cha kuzaliwa kwenye other document ambacho sijaverify nataka nikitoe niweke copy iliyo verified je nitakubaliwa au application itafeli
Tatu chet cha form four na leseni niliweka ambazo haziko verified nataka nizitoe je nitafanikiwa
Natanguliza shukrani
Nashukuru sana mkuu wa wakuu....ngoja nifosi leo kuvitoa aseeBarua iko sawa maana lazina usaini kwa mkono baada ya kuchapa na kompyuta huwa tunaisaini kwa mkono
Kuhusu vyeti toa haraka sana kabla ya deadline,hakikisha vyeti unavyoweka ajira portal vyote vina muhuri wa mwanashaeria
Bila hivyo uingii kwenye shortlist ya utumishi
Kama hujatuma maombi vitoe tu inawezekana, nenda sehemu ya edit uattach vyeti ila kama ni kufuta programme name au kudelete vyote hakuna option ya delete hasa ile sehemu ya accademic qualificatiom, na kuhus kuattach sahihi sehemu yake iliyokuwa written kwa mkono haina shida kwa sababu ata kwenye CV wengi wanafanya hivyo anaiattach ile sahihi pale mwisho ambayo iko signed kwa mkonoMkuu nilitype barua yang kwa computer sehemu ya kusaini nikaingiza saini ambayo nilisaini kwa mkono na barua yangu niliandika kwa kiingereza je wakuu wanawaze kunikanda japo inaonesha iko verified
.
Pili niliattach chet cha kuzaliwa kwenye other document ambacho sijaverify nataka nikitoe niweke copy iliyo verified je nitakubaliwa au application itafeli
Tatu chet cha form four na leseni niliweka ambazo haziko verified nataka nizitoe je nitafanikiwa
Natanguliza shukrani
Hiyo Haina shida mwamba kikubwa wakati wa kuapply ulia atachi barua yako maombi!!Jamani msaada ndugu zangu, nimeattach vyeti mara mbili ile sehemu ya accademic qualification kipengele cha kujaza cheti cha chuo( cheti kimeongezwa mara mbili), hii imekaaje na maombi nimeshatuma,je nitazingatiwa? Na kuna rafiki yangu pia yeye sehemu ya recommendation letter kaweka barau yake ya kuomba kazi na mwishoni pia kaiweka na maombi yameenda na hili pia linakaaje? Kwa wazoefu jamani
Haufuti maombi bali una edit au kufuta sehemu husika kwa kuingia kwenye sehemu palipoandikwa academic qualifications kwa upande wa vyeti na other attachment kwa viambata vingine maombi yako yanabaki vilevileMaombi nilishatuma na kwenye my application inaandikwa received ,sasa nikifuta si tayari imeenda iyo barua kwenye ile sehemu ya recommendation letter, au ninaweza kufuta na kutuma tena maombi ihali yalishapokelewa?
Shukrani sana Mkuu🙏tuendelee kupeana ufahamuHiyo Haina shida mwamba kikubwa wakati wa kuapply ulia atachi barua yako maombi!!
Sawa asante sana kiongoziHaufuti maombi bali una edit au kufuta sehemu husika kwa kuingia kwenye sehemu palipoandikwa academic qualifications kwa upande wa vyeti na other attachment kwa viambata vingine maombi yako yanabaki vilevile
Ata barua ukitaka ku edit unaweza haya yote yafanyike kabla ya deadline
zinakuja mjipange kwa interviewVip ajira za walimu bado?
Barua haina shida, kingereza na kiswahili vinakubalika.Mkuu nilitype barua yang kwa computer sehemu ya kusaini nikaingiza saini ambayo nilisaini kwa mkono na barua yangu niliandika kwa kiingereza je wakuu wanawaze kunikanda japo inaonesha iko verified
.
Pili niliattach chet cha kuzaliwa kwenye other document ambacho sijaverify nataka nikitoe niweke copy iliyo verified je nitakubaliwa au application itafeli
Tatu chet cha form four na leseni niliweka ambazo haziko verified nataka nizitoe je nitafanikiwa
Natanguliza shukrani
Kaka vipi kuna possibility ya interview au laahBarua haina shida, kingereza na kiswahili vinakubalika.
Hizo nyaraka zote ambazo hujacertify, zi certify halafu zipakie tena, kuzibadili kwa sasa haziwezi kudisqualify application yako.
Uzuri wa Ajira portal ni kwamba hata deadline ya application ya nafasi husika ikifika, utaweza kuendelea kubadili nyaraka zote kama kawaida endapo ukiona pana kosa, isipokuwa barua ndio hutaweza kuibadili. Hili ni tofauti na mfumo wa Tamisemi au Afya uliokuwa unatumika ambapo ulikuwa ukimaliza kuapply huwezi tena kuedit penye makosa.
Futa sehemu ya recommendation, kuna sehemu ya delete.Maombi nilishatuma na kwenye my application inaandikwa received ,sasa nikifuta si tayari imeenda iyo barua kwenye ile sehemu ya recommendation letter, au ninaweza kufuta na kutuma tena maombi ihali yalishapokelewa?
Tulia kwanza rudi baadae utakuta mabadilikl yashafanyika. Mfumo huwa unachelewa kudisplay hayo mabadiliko.Wakuu naombeni msaada nimeenda sehemu ya kuedit document nikapachika ambazo ziko verified na wakili mfumo ukanambia document saved
Nikarudi kuview nazikuta document zile za zamani, Hili tatizo nalisolve vipi???
Natanguliza shukrani wakuu wa wakuu
Interview ipo ya kuandika(mchujo) na oral.Kaka vipi kuna possibility ya interview au laah
Maana huu ni mfumo mpya.
Na una ukakasi sana bado.