Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,036
- 3,107
Jinsi mlivyomjibu pasi na kujilizisha akaunt yake kaambiwaje mtamuua na pressure haya mambo yamesubiriwa Kwa muda mrefu Leo hii hata fursa ya kuenda gusa computer Yao tu ikosekaje jamani duhWe Voice of Tanzania mbona unatucheka mkuu
Kuna PDF na Kuna hiyo PDF aiseeKula pdf hilo
Ila serikali ni magaidi sana kada yangu wanahitajika watu 300 tu ila tunaogombania kulamba asali tupo 2865😁Kuna watu watajinyonga kisa huu usaili 😂
Kuna kada sijui wanahitajika wangapi ila wameitwa 8000+ 😂Ila serikali ni magaidi sana kada yangu wanahitajika watu 300 tu ila tunaogombania kulamba asali tupo 2865😁
Na hizi usaili n kila mkoa hapo aisee n kivumbi kutoboa 😂 Ila katimizeni wajibu wenu kwenda kwenye usaili tuuIla serikali ni magaidi sana kada yangu wanahitajika watu 300 tu ila tunaogombania kulamba asali tupo 2865😁
Walisema serikali haina uwezo wa kufanyisha interview nchi nzimaNa hizi usaili n kila mkoa hapo aisee n kivumbi kutoboa 😂 Ila katimizeni wajibu wenu kwenda kwenye usaili tuu
Sasa kuna mwamba wakuitwa Utawala2025 yeye alisema ameongea na mtu mzito wa utumishi akaambiwa ety hakutokuwa na usaili 😂Walisema serikali haina uwezo wa kufanyisha interview nchi nzima
Kwani wewe ulikoombea haukujuiWa kuu kwa walio chagulia moja kwa moja kufanya oral intewiew wanaenda kufanyia wapi maana kwenye pdf wameandika anuani uliyo tumia kuomba ila kwenye account wameandika hivi;
USAILI HUU UTAFANYIKA KATIKA MKOA AMBAO MSAILIWA ALIOMBEA NAFASI ZA KAZI (KWA TAARIFA ZAIDI TEMBELEA TOVUTI YA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA).kwa mwenye ufahamu eneo lipi litakua sahiii kufanya iyo interview?
Panajulika ila kwenye PDF imeandikwa anuani niliyo weka kwenye profile yangu ila mkoa nilio omba kwenda kufanya kazi ni tofauti na iyo anuani ya kwenyewe pdfKwani wewe ulikoombea haukujui
Wachache Sana watakaokumbukaKwani wewe ulikoombea haukujui
Unafanya oral au writtenPanajulika ila kwenye PDF imeandikwa anuania niliyo weka kwenye profile yangu ila mkoa nilio omba kwenda kufanya kazi ni tofauti na iyo anuani ya kwenyewe pdf
Uzembe huu unaanza haoa ubashau mkoa uliombeaWachache Sana watakaokumbuka
Oral tu chiefUnafanya oral au written
Duh yn kwamba mtu asahau mkoa anapoishi alipoombea kaziWachache Sana watakaokumbuka
Uyu jamaa uyu tena alikuwa mkali haswa🤣Sasa kuna mwamba wakuitwa Utawala2025 yeye alisema ameongea na mtu mzito wa utumishi akaambiwa ety hakutokuwa na usaili 😂
Unapodandia TREN kuwa na akiba ya nauli unaweza ukadondoshwa poriniDuh yn kwamba mtu asahau mkoa anapoishi alipoombea kazi