TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Ila serikali ni magaidi sana kada yangu wanahitajika watu 300 tu ila tunaogombania kulamba asali tupo 2865😁
Na hizi usaili n kila mkoa hapo aisee n kivumbi kutoboa 😂 Ila katimizeni wajibu wenu kwenda kwenye usaili tuu
 
Wa kuu kwa walio chagulia moja kwa moja kufanya oral intewiew wanaenda kufanyia wapi maana kwenye pdf wameandika anuani uliyo tumia kuomba ila kwenye account wameandika hivi;
USAILI HUU UTAFANYIKA KATIKA MKOA AMBAO MSAILIWA ALIOMBEA NAFASI ZA KAZI (KWA TAARIFA ZAIDI TEMBELEA TOVUTI YA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA).kwa mwenye ufahamu eneo lipi litakua sahiii kufanya iyo interview?
 
Kwani wewe ulikoombea haukujui
 
Back
Top Bottom