Muhimbili mpaka Leo interview lazima, mloganzila,mzena kuna interview Makini SanaAcha kukariri, Engineer hawana Leseni? Vip CPA za wahasibu,vip kuhusu Wanasheria wanapita Law school? Hao wote wanafanya interview kwenye ajira zao..hata Ajira za afya kipind cha nyuma ili ufanye kazi Muhimbili,mtu alitakiwa afanye Interview.
Maanake ni kwamba kada/nafasi uliyoomba haiendani na fani yako uliyosoma angalia vizuri sifa za hiyo nafasi unayotaka kuombaNikitaka kuappply niambiwa hiviView attachment 3036672
Kumbe mambo ndio yapo hvy, bc safi.Nimemfanyia rafiki yangu Application leo.
Tulijadili na jamaa yangu achague mikoa 5 then aombe hiyo mikoa.
Ila nilipoanza kuomba mkoa wa kwanza, nilipomaliza, zikaandika kwa pamoja kwenye nafasi zote mikoa yote kuwa ALREADY APPLIED then jina la Mwajiri likajitokeza ni MDAs and LGAs kule kwenye MY APPLICATIONS.
Kwa hiyo utakapoomba mara moja ndio imeisha hiyo, itabaki sasa utakapoitwa kwenye Interview na ukatusua, utaweza kupangiwa mkoa wowote au mkoa ulioomba wakati wa ApplicationView attachment 3036746
Nenda kwenye edit uweke sawa, ikikataa bc fanya kama unaweka upya zitakuwa mbili lkn haina shida pia ukiamua unaweza kuwapigia na ukawaambia wafuate hy uliyokosea au ukiamua ibaki hvy hvy n sawa haina shidaIvhi kwa mfano ukajaza course alaf bahati mbya ukakosea na ikataka kufuta...inawezekana kufuta?
Jambo n moja tuu, kama unaona sio sawa na unaona wanasheria wanafaidi sana bc achana na mambo ya ku-certify vyeti omba ajira hvy hvy bila mhuri wa mwanasheria.Upigaji tu. Kwani Kuna umuhimu gani na ulazima upi wa ku certify vyeti? Technology na mambo ya kizamani Sana. Upo Karne ya 21 lakn unaishi kama upo Karne ya 19 huko. Ondoeni hicho kigezo Cha ku certify vyeti.
Angalia level ya elimu wanayoitaka pamoja na programu category kama zinaendana na ambazo umeandika ww kwenye system, mara nyingi sana hua tunakosea hapo.Mimi inaniandikia application failed nifanyeje anaefaham wakuu na nina 100 percent na kila kitu kipo
Angalia kwenye programu category. Pia angalia kama diploma uliyonayo inaendana na diploma wanayoitaka yn isitofautiane ht kdgMbona inanigomea Nina diploma na kazi Ina hitaji diploma mfumo unagoma
Mtu akisema uumlipe au umfate PM ili akusaidie bc huyo n mwizi tuu.Hata nimeshindwa kuelewa jinsi ya ku apply nisaidieni
Mtumishi ulipata kabla ya psrs nn...maana unabishana na uhalisiaMiongozo ya ajira haijaweka kigezo hicho cha mwanasheria.
Watu kama hao wala hata usiumize kichwa kuwaeleweshaMtumishi ulipata kabla ya psrs nn...maana unabishana na uhalisia
Hapana ni vyema kueleweshana..siku atamfelisha ndugu yakeWatu kama hao wala hata usiumize kichwa kuwaelewesha
Uliposhindwa ni wapi ili tukupe msaadaHata nimeshindwa kuelewa jinsi ya ku apply nisaidieni
Kuna watu wanaboa aisee, tena mtu amekaza fuvu kabisa ynHapana ni vyema kueleweshana..siku atamfelisha ndugu yake
Sasa umuhimu wake ni upo??Mtumishi ulipata kabla ya psrs nn...maana unabishana na uhalisia
Ni upi??Sasa umuhimu wake ni upo??
Nataka useme umuhimu na ulazima wa kufanya hivyo.Watu kama hao wala hata usiumize kichwa kuwaelewesha