TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Acha kukariri, Engineer hawana Leseni? Vip CPA za wahasibu,vip kuhusu Wanasheria wanapita Law school? Hao wote wanafanya interview kwenye ajira zao..hata Ajira za afya kipind cha nyuma ili ufanye kazi Muhimbili,mtu alitakiwa afanye Interview.
Muhimbili mpaka Leo interview lazima, mloganzila,mzena kuna interview Makini Sana
 
Nimemfanyia rafiki yangu Application leo.

Tulijadili na jamaa yangu achague mikoa 5 then aombe hiyo mikoa.

Ila nilipoanza kuomba mkoa wa kwanza, nilipomaliza, zikaandika kwa pamoja kwenye nafasi zote mikoa yote kuwa ALREADY APPLIED then jina la Mwajiri likajitokeza ni MDAs and LGAs kule kwenye MY APPLICATIONS.

Kwa hiyo utakapoomba mara moja ndio imeisha hiyo, itabaki sasa utakapoitwa kwenye Interview na ukatusua, utaweza kupangiwa mkoa wowote au mkoa ulioomba wakati wa ApplicationView attachment 3036746
Kumbe mambo ndio yapo hvy, bc safi.
 
Ivhi kwa mfano ukajaza course alaf bahati mbya ukakosea na ikataka kufuta...inawezekana kufuta?
Nenda kwenye edit uweke sawa, ikikataa bc fanya kama unaweka upya zitakuwa mbili lkn haina shida pia ukiamua unaweza kuwapigia na ukawaambia wafuate hy uliyokosea au ukiamua ibaki hvy hvy n sawa haina shida
 
Upigaji tu. Kwani Kuna umuhimu gani na ulazima upi wa ku certify vyeti? Technology na mambo ya kizamani Sana. Upo Karne ya 21 lakn unaishi kama upo Karne ya 19 huko. Ondoeni hicho kigezo Cha ku certify vyeti.
Jambo n moja tuu, kama unaona sio sawa na unaona wanasheria wanafaidi sana bc achana na mambo ya ku-certify vyeti omba ajira hvy hvy bila mhuri wa mwanasheria.
 
Back
Top Bottom